x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Spika Justin Muturi amejitokeza waziwazi kutetea wazee wa Njuri Ncheke dhidi ya shutuma dhidi yao

29, May 2021

Spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi amejitokeza waziwazi kutetea wazee wa jamii ya Kikuyu dhidi ya shutuma dhidi yao na baadhi ya magavana na viongozi wa kisiasa kutoka eneo la Mlima Kenya. Muturi anasema wajibu wa wazee wa kijamii umelindwa na katiba. Akizungumza wakati wa mkutano wa muungano wa wasomi kutoka eneo la Meru, Muturi amewataka kumuunga mkono katika azma yake ya kuunganisha eneo hilo na taifa kwa jumla. Viongozi waliozungumza aidha wakiahidi kusukuma ajenda hiyo.

Feedback