.
23rd May, 2021
Kadri uchukuzi wa boaboda nchini unavyoendelea kukita mizizi ndivyo mafundi na washikadau wanavyoongezeka. Miongoni mwao ni mafundi wa pikipiki ambapo leo hii kwenye makala ya mwanamke ngangari tunaangazia Esther Mmbone ambaye ari yake ya kuwa fundi wa aina hiyo ya uchukuzi tangia akiwa mtoto imeendela kumpa umaarufu mjini Busia.