x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kaunti ya Vihiga: Wananchi waanza kukusanya saini, wanadhamiria kulivunja bunge la Vihiga

23, May 2021

Wakaazi wa kaunti ya Vihiga wameanzisha mchakato wa kukusanya saini kumtaka kisheria Rais Uhuru Kenyatta kuivunjilia mbali serikali ya kaunti hiyo kwa kuwa imeshindwa kutekeleza majukumu yake na kuwarejesha nyumbani wawakilishi wote wa bunge la kaunti hiyo. Wakaazi hao wanasema gavana wa kaunti hiyo Daktari Wilber Otichilo ameshindwa kutekeleza majukumu yake na wawakilishi wadi wametiwa mfukoni.

RELATED VIDEOS


Feedback