.
23rd May, 2021
Maafisa wa polisi wamemtia mbaroni mhudumu wa bodaboda baada ya kifo cha mtoto mmoja katika kijiji cha Nyalunya kaunti ya Kisumu. Mmoja wa vijana hawa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga baada ya kudungwa kisu mara nne.