x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Naibu Rais William Ruto akutana na viongozi katika Pwani ya Kenya, ataka uungwaji mkono 2022

22, May 2021

Naibu Rais William Ruto kwa mara nyingine ameanza safari ya kutaka uungwaji mkono katika eneo la Pwani katika uchaguzi mkuu ujao. Katika kikao na wabunge wa Pwani wanaoegemea mrengo wake pamoja na wasomi Ruto aliyeepuka kuzungumzia siasa ameonekana kuvumbua mkondo tofauti kabisa katika kuwavutia wapiga kura. Katika kikao cha leo kilichoandaliwa kaunti ya Kilifi kuzungumzia uchumi wa Pwani wabunge walimtaka kuhakikisha matakwa yao yametimizwa kabla ya kumpigia kura.

Feedback