×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bwawa Hewa? Licha ya Serikali kutenga mamilioni ya fedha mradi wa ujenzi ulikoma zamani

15th May, 2021

Mwaka wa 1997 serikali iliagiza kipande cha ardhi kutoka kwa wakazi wa eneo la Chebara kaunti ya Elgeyo Marakwet ili kutengeneza bwawa la maji lilolenga kusambaza maji mjini eldoret na badala yake ikaahidi kutengeneza shule katika maeneo hayo.mnamo 2011 serikali ikatenga shilingi milioni 635 kufanikisha miradi katika shule ya upili ya wavulana na wasichana ya Chebara. Ila miaka michache baadaye taswira ya majengo yalioachwa pasi kukamilishwa yanaatua moyo hata baada ya mamilioni ya pesa kutumika. 

.
RELATED VIDEOS