×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mashaka ya Sossion: Upo mpango wa kumbadua mamlakani, wapinzani wakosoa uongozi wake

15th May, 2021

Siku chache baada ya katibu mkuu wa chama cha walimu KNUT kupata pigo mahakama ilipoidhinisha kuondolewa kwake kwenye sajili ya walimu, kundi moja chini ya mwavuli 'Team Change' limesema liko tayari kuchukua hatamu za uongozi kutoka kwake Sossion. Kwenye msafara mpya ambao umezinduliwa baada ya mkutano na wajumbe wa KNUT uliofanyika mjini Eldoret, Henzry Oyuu kutoka eneo la nyanza anapigiwa upatu kuwania nafasi ya katibu mkuu huku Rosalia Nkajala kutoka Pwani akipaniwa kuwania nafasi ya Naibu Katibu Mkuu.

.
RELATED VIDEOS