×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hatma wa IEBC: Mahakama ilizungumzia uhaba wa makamishna wa IEBC

15th May, 2021

Tume ya uchaguzi na mipaka IEBC imejipata kwenye njia panda baada ya uamuzi wa mahakama kuwa tume hiyo ingali kuwa kamilifu kutokana na ukosefu wa makamishana, ni msimamo ambao huenda ukakwamiza shughuli za IEBC ikiwemo chaguzi dogo zinazotarajiwa wiki ijayo. Tume hiyo sasa inaonekana kutapatapa huku kesi ya kukata rufaa ikitarajiwa

.
RELATED VIDEOS