x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kampeni za chaguzi ndogo Bonchari na Juja zimekwisha hivi leo

15, May 2021

Vyama vya Odm, Jubilee na Uda vitamenyana kwenye chaguzi ndogo za Bonchari na Juja, zitakazofanyika tarehe 18 mwezi huu, ambayo ni siku ya jumanne wiki ijayo. Tofauti na taswira iliyoshuhudiwa kwenye chaguzi ndogo za Kabuchai na Machakos, vyama hivyo vina wawaniaji mbali mbali.

Feedback