.
14th May, 2021
siku za hivi karibuni zimeshuhudia mvua kubwa kote nchini jiji la nairobi likiathirika pakubwa sawia na taswira katika miji mingine. Watu wakifariki na mali ya mamilioni ya fedha ikiharibiwa kote nchini. Watabiri wa hali ya anga wakisema wakenya wajipange kwa kuwa mvua itaendelea kushuhuddiwa kwa kiasi kukubwa. Willy Lusige na taarifa kwa kina