.
14th May, 2021
kwenye makala ya Mirindimo juma hili wakili Nelson Havi atupa kombora kwa wanahabari lakini mambo yamharibikia, kisa na maana BBI. naye waziri eugene wamalwa na gavana wilber otichilo wakifikisha densi ya mulongo kule makueni. mark namaswa na mirindimo.