.
14th May, 2021
mahakama kuu iliharamisha mageuzi ya katiba kupitia bbi, kwa misingi kwamba mchakato mzima ni kinyume cha sheria na kwamba rais uhuru kenya alivuka mipaka ya mamlaka yake alipoanzisha utaratibu wote kupitia bbi. aidha jopo la majaji watato lilimpata rais uhuru kenyatta na hatia ya kukiuka sheria kwa mujibu wa sura ya sita ya katiba.