×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana wa Wajir apigwa msasa ndani ya Seneti, anakabiliwa na kesi ya ubadhirifu

13th May, 2021

Juhudi za gavana wa wajir, mohammed abdi muhamad za kutaka kujua chanzo cha stakabadhi za benki zinazomhusisha mke na watoto wake kwenye sakata ya ufujaji wa pesa za kaunti ya wajir ziligonga mwamba mbunge wa wadi ya diff, shueb bare ahmed alipokataa kufichua vyanzo vyake. gavana abdi anasema hoja ya kutaka afurushwe afisini imechochewa na mahasidi wake na akakanusha madai kwamba amemuachia mke wake, kheira omar, majukumu ya kuendesha serikali ya kaunti. aidha, mfanyabiashara osman abdi jimale, anayedaiwa kuwa jamaa wa karibu wa mke wa gavana, hakufika mbele ya seneti kueleza jinsi makampuni anayomiliki yalifaidi zabuni kwenye kaunti.

.
RELATED VIDEOS