.
13th May, 2021
polisi mmoja wa ngazi ya juu huenda akashtakiwa kwa kosa la mauaji baada ya kumuua kwa kumpiga risasi mlinzi mtaa wa kayole kaunti ya nairobi. simon mwongela anadaiwa kumpiga risasi jamaa huyo baada ya vurugu kuzuka katika hoteli moja alikodai kuibiwa gari lake. brian obuya anaarifu.