12th May, 2021
Kiungo wa timu ya taifa harambee stars ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17 Ken Mwendwa amefanya vizuri kwenye mtihani wa kitaifa kcse. Mwendwa aliyepata ufanisi mkubwa akiichezea shule st. Anthony Kitale alipata alama ya B? kwenye mtihani huo. Chipukizi huyo anaota kuiwakilisha kenya kwenye anga za kimataifa.