×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali kuagiza chanjo ya Covid-19 milioni 30 kutoka kampuni ya Johnson and Johnson

12th May, 2021

Wizara ya afya imetoa ufafanuzi kuwa kaunti zilizo na idadi ya chini ya wale wanaopokea chanjo watapewa usaidizi wa kusambaza chanjo hio huku chanjo hizo zikisemekana kuharibika ifikapo tarehe 28 mwezi juni. Serikali aidha imeweka mikakati ya kupokea chanjo milioni 30 kutoka kampuni ya Johnson and Johnson ili kuchanja idadi ya wale waliosalia. Aidha idadi ya wale waliopatikana na aina ya korona kutoka india pia imeongezeka.

.
RELATED VIDEOS