x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kampeni Kidijitali: Wagombea wa bunge la Juja na Bonchari watumia mitandao kukampeni

11, May 2021

Kwa chini ya wiki moja, wakazi wa maeneo bunge ya Juja na Bonchari wataelekea debeni kuwachagua wawawikilishi wao. Ila, kufutiliwa mbali kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa, kumewatatiza pakubwa wawaniaji waliokuwa katika hekaheka za kujitafutia kura. Hali hiyo pia ikifungua milango ya kampeni mitandaoni. Kama anavyoarifu Emmanuel Too, hapa kukosekana wale waliovunja sheria ya kutotagusana iliyowekwa kudhibiti kuenea kwa Covid?19.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback