.
11th May, 2021
Kenya imesitisha safari zote za ndege kuelekea na kutoka nchi ya Somalia kwa kipindi cha miezi mitatu. Serikali ya kenya kupitia mamlaka ya usafiri wa ndege ilitoa agizo hili chini ya wiki moja tangu mataifa hayo mawili kufufua uhusiano wa kidplomasia, kupitia juhudi za taifa la Qatar.