Wanafunzi wa kaskazini mashariki Kenya wafanya vyema katika mtihani wa KCSE licha ya hali ngumu
11th May, 2021
Licha ya kukosa waalimu kwa zaidi ya miaka Amina Hire ni mwingoni mwa wanafunzi waliopata alama za a nchini Hamza Yusuf anaarifu jinsi matokea ya kaskazini mashariki yamenawiri licha ya changamoto chungunzima.