11th May, 2021
Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kupokea mswada wa kubadilisha katiba kupitia mchakato wa bbi. Hii ni baada ya mabunge yote mawili kupitisha mswada huo. Kama anavyoarifu mwanahabari geff kirui, kura hiyo bungeni ilichukua mkondo wa siasa za uchaguzi mkuu ujao.