.
10th May, 2021
Huku mezi mtukufu wa ramadhan ukielekea kukamilika baadae wiki hii, gharama ya maisha inaendelea kuwakabili jamii ya waislamu wanaojiandaa kusherehekea sikukuu ya eid. mwanahabari hamza yusuf aliangazia namna bei ya nguo na vifaa vingine vya matumizi majumbani zilivyopanda mjini garissa. hebu tupate taarifa hio.