x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Zaidi ya wakenya 700,000 wanaugua ugonjwa wa lupus huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya lupus

10, May 2021

zaidi ya wakenya elfu mia saba wanaugua ugonjwa wa lupus humu nchini, ugonjwa ambao hutokana na kinga ya mwili wako kupigana na viini vya mwili wako. leo, taifa la kenya limejiunga na mataifa mengine kuadhimisha siku ya lupus duniani huku wale wanaougua wakitaka mikakati kuwekwa ili kupigana na ugonjwa huu. mwanahabari saada hassan ana taarifa zaidi.

Feedback