x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Washikadau wa utalii katika kaunti ya Kilifi wanadai wametengwa kwenye mipango ya chanjo ya COVID-19

10, May 2021

Washikadau wa utalii katika kaunti ya kilifi wanadai wametengwa kwenye mipango ya chanjo ya COVID-19. Wanasema wamekuwa wakishangazwa na hatua ya kutochanjwa licha ya kuwa wao wanatangamana na wageni kutoka mataifa mbalimbali. Wakizungumza huko malindi katika hafla ya usafi ya kila mwezi inayoandaliwa na progressive welfare association of malindi, wamesema wenzao kutoka kaunti ya nairobi na mombasa tayari wamechanjwa ila hawaelewi kwa nini shughuli hiyo upande wao haijang'oa nanga.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback