×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanasayansi katika ukanda wa pwani wana wasiwasi mkubwa kufwatia ongezeko la vifo vya kasa

10th May, 2021

Wanasayansi katika ukanda wa pwani wana wasiwasi mkubwa kufwatia ongezeko la vifo vya kasa, wanyama wanaofanana na kobe ila muhimu katika ukuzaji wa mazingira ya fukwe za bahari. wawindaji haramu na wavuvi wanalaumiwa pakubwa vifo hivi ambapo baadhi ya walaji wa nyama ya kasa wamesingizia uchu wa tendo la ndoa. tobias chanji na taarifa kamili.

.
RELATED VIDEOS