×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanafunzi 15 wa Moi High School Kabarak ni miongoni wa waliopata alama ya A katika KSCE 2020

10th May, 2021

Wanafunzi wasiopungua 15 katika shule ya upili ya moi high school kabarak, ni miongoni mwa wanafunzi 893 nchini, waliojizolea alama ya a katika mtihani wa KSCE. Aidha mwalimu mkuu wa shule hiyo elisheba cheruiyot anasema kuwa japo kufikia jioni ya leo walikuwa hawajapata matokeo yote, ishara zimeashiria kuwa huenda wakawahi lengo lao la mwaka wa ambalo ni alama 12 na kuwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wao, watafuzu kuingia chuo kikuu. ibrahim karanja alikuwa kabarak na anaarifu

.
RELATED VIDEOS