x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Michuano ya Tenisi: Kikosi cha Kenya chajiandaa, wachezaji wana imani kufanya vyema

08, May 2021

Wachezaji wa tennis wanaowakilisha taifa kwenye mashindano ya tennis ya wachezaji wanaoishi na changamoto za maumbile nchini ureno wameelezea matumaini yao kufanya vyema kwenye mkondo wa pili. Kikosi cha kenya kimefanya mazoezi hii leo kujiandaa kwa mkondo huo utakaoanza mnamo jumatatu. Hapo kesho wachezaji wote watashiriki mashindano ya mwigo kujiandaa kwa ajili ya mkondo wa pili.

Feedback