x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Catherine Njenga alikuwa mwalimu sasa anafanya kazi katika sekta ya kuhifadhi maiti hospitali

08, May 2021

Kwa miaka mingi sasa, jamii imekuwa ikiamini kuwa kuna kazi sisizo za heshima. Vilevile kuna kazi ambazo zinaaminika kuwa ni za wanaume na zingine ni za wanawake. Catherine Njenga amekua akifanya kazi katika sekta ya kuhifadhi maiti ndani ya hospitali ya Nairobi Women’s. Mwanahabari wetu Chebet Birir anaangazia jinsi alivyoingia katika kazi hiyo, na ni nini kinamfanya azidi kuipenda. 

RELATED VIDEOS


Feedback