.
8th May, 2021
Watu kumi na wanne wakiwemo watano wa familia moja wameaga dunia katika ajali maeneo mbali mbali nchini jumamosi. Katika ajali moja kaunti ya Mombasa gari lilimokuwa na watu wa familia moja liligongana ana kwa ana na lori moja asubuhi ya kuamikia leo Sawai na ajali nyingine eneo la Gilgil.