.
25th April, 2021
Mvua kubwa iliyonyesha maeneo mbali mbali ya jiji la Nairobi ilisababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo na kuvuruga usafiri. Kwa mujibu wa shirika la utabiri wa hali ya hewa mvua kubwa inatarajiwa kuendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali nchini.