×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Siasa za ODM: Gavana wa Kaunti ya Kakamega, Wycliffe Oparanya anataka aungwe mkono

25th April, 2021

Baadhi ya viongozi kutoka magharibi ya Kenya wanaoegemea upande wa gavana wa kaunti ya Kakamega Wycliff Oparanya sasa wanashurutisha sharti gavana huyo apewe tiketi ya ugombezi urais wa chama cha Odm la sivyo atagura kuelekea vyamani vingine vya kisiasa. Viongozi hao wanasema ni wazi kuwa Oparanya anapania kufanya kazi na viongozi wengine baada ya kukutana na Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa wiper Kalonzo Musyoka. Oparanya kwa upande wake amesisitiza kuwa zamu imewadia kwa kiongozi wa odm Raila Odinga kumlipa deni kwa kumuunga mkono.

.
RELATED VIDEOS