×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Utata wa Ardhi Embu: Viongozi walaani ubomoaji huku maelfu wakiachwa bila makao

25th April, 2021

Wanahabari wawili wa shirika la Standard  ni miongoni mwa waandishi walioachiliwa huru kutoka kituo cha polisi cha Matuu bila kufunguliwa mashtaka baada ya kukamatwa na kuzuiliwa wakiripoti kuhusu zoezi la kubomoa nyumba na kuwatimua wakaazi kutoika ardhi ya shirika la TARDA eneo la Makima kaunti ya Embu. Mbunge maalum Cecil Mbarire amelaani kisa hicho cha wakaazi wa eneo hilo kutimuliwa katika ardhi yao akitaka serikali kutafuta suluhu ya mgogoro huo mara moja.

.
RELATED VIDEOS