x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwanamke Ngangari: Maisha ya Catherine Ngila, mwanasayansi na msomi aliyetuzwa kama mwanamke bora

25, Apr 2021

Ni mwanasayansi, mhadhiri na msomi ambaye ametuzwa kama mwanamke bora zaidi barani Afrika na nchi za kiarabu kwenye tuzo ya kimataifa kuwatambua wanawake waliobobea kwenye sayansi maarufu kama Loreal Unesco mwaka wa 2021. Catherine Ngila mwenye umri wa miaka sitini ni miongoni mwa wanawake watano bora zaidi kote ulimwenguni juhudi zake kwenye sayansi ya usafi wa maji zikimwezesha kuibuka mshindi. Katika makala ya mwanamke ngangari leo hii tunamwangazia mama huyo ambaye angali na kiu ya kuendelea na utafiti wa sayansi ya maji.

RELATED VIDEOS


Feedback