x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Seneta Moi akutana na balozi wa Marekani Eric Kneedler na kujadili masuala ya hali ya afya nchini

22, Apr 2021

Ushirikiano baina ya Kenya na Marekani haswa kuhusu usalama na masuala ya afya, ndiyo ilikuwa ajenda kuu katika kikao baina ya seneta wa Baringo Gideon Moi na kaimu balozi wa marekani nchini Eric Kneedler. Seneta Moi akiishukuru marekani kwa kuendelea kushirikiana na Kenya. Awali Moi alipokea msaada wa vifaa vya afya kutoka kwa kampuni ya kamari ya Mozzartbet, unaonuiwa kuifaidi kaunti ya Baringo.

Feedback