x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Chama cha UDA chajitokeza wazi na kusema kuwa hawang'atuki kwenye muungano wao na chama cha Jubilee

22, Apr 2021

Chama cha U.D.A kimejitokeza wazi na kusema kuwa hawang'atuki kwenye muungano wao na chama cha jubilee katika kile kinaonekana kuwa ubishi kati ya  viongozi wa u.d.a na wale wa jubilee. Daniel kariuki anatupa taarifa hiyo ya msukosuko unaoendelea chamani jubilee.  

Feedback