22nd April, 2021
Mahakama ya Nakuru imempata na hatia mwalimu mkuu wa zamani wa shule ya sekondari ya Icaciri, Jane Muthoni na mshukiwa mwenza Isaac Ng’ang’a ya kumuua Solomon Mwangi, mumewe Mane. Mwili wa marehemu mwangi aliyekuwa mkuu wa shule ya sekondari ya Kiru boys, huko murang’a ulipatikana umetupwa kwenye shamba la kahawa la karakuta kaunti ya kiambu novemba 2016.