.
21st April, 2021
Wakazi wa Naivasha walishtushwa na tukio la bwana mmoja wa umri wa makamo kujaribu kujitoa uhai akitumia kigae cha chupa aliyoivunja, baada ya kukataliwa na mpenzi wake wa zamani. Hii ni baada ya bwana huyo kujitahidi kumtongoza tena mke wake wa zamani na kukataliwa, huku bibiye akijitia hamnazo.