×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Reli ya SGR Tanzania: Reli ya umeme kuanza kutumika Agosti, ni reli ya umbali wa kilomita 205

21st April, 2021

Tanzania inatarajia kuanza kutumia reli yake ya kisasa (SGR) inayotumia umeme, mapema mwezi Agosti mwaka huu, katika kusafirisha abiria na mizigo kuanzia mjini dar es salaam hadi morogoro, umbali wa kilometa 205. Ikiwa ni kipande cha kwanza cha reli hiyo inayotarajiwa kufika hadi kwenye fukwe za ziwa Victoria mjini mwanza, ili kuunganisha taifa hilo na nchi jirani za Uganda, Burundi, Rwanda na DRC. Reli hiyo itakayokuwa na urefu wa kilometa zaidi ya 1,219 inakuwa ya kwanza afrika mashariki.

.
RELATED VIDEOS