.
21st April, 2021
Mchezaji wa zamani timu ya taifa na klabu za Eagle Wings na Kpa Rose Ouma amefanikisha ndoto yake kuwa kocha baada ya miaka 22 ya mchezo wa vikapu. Ouma ambaye ni mchezaji na kocha wa Al Nasr huko Dubai amezitaka asasi za mchezo huo nchini kupiga jeki wanawake.