x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mswada Gushi BBI? Kaunti 13 ziliujadili mswada halisi, wengine walijadili mswada ghushi

21, Apr 2021

Shughuli ya kurekebisha katiba kupitia mchakato wa BBI imeingia baada ya jopo la wataalam waliochambua mswada huo kufichua dosari kadhaa.  Kamati ya pamoja ya bunge la taifa na bunge la seneti imegundua kwamba huenda ni kaunti 13 pekee zilizojadili mswada halisi wa BBI, ilhali mabunge mengine ya kaunti yalijadili miswada ghushi.  Aliyekuwa katibu wa jopo kazi lililoshughulikia mchakato wote wa bbi kabla mswada huo kuwasilishwa kwa tume ya IEBC amesema huenda watu fulani wamepanga njama ya kuhujumu shughuli hiyo na akatoa wito kwa idara ya upelelezi kuingilia kati.  

Feedback