x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kiunzi cha Chanjo: Pfizer na Johnson & Johnson kuagizwa baada ya chanjo ya AstraZeneca kukosekana

21, Apr 2021

Waziri wa afya Mutahi Kagwe amesema kuwa mpango wa kuagiza chanjo aina ya Pfizer Na Johnson & Johnson unaendelea, kama njia mbadala ya kutimiza mpango wa kuwachanja wakenya kutokana na virusi vya korona. Waziri Kagwe ameonya kuwa licha ya maambukizi ya virusi vya korona kupungua katika kaunti zilizoorodheshwa kama hatari zaidi, maambukizi yanaongezeka katika kaunti nyinginezo.

RELATED VIDEOS


Feedback