x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Walimu 27 wamulikwa kupigwa kalamu kuhusu udanganyifu wa mtihani wa KCSE

21, Apr 2021

Huenda walimu ishirini na saba wakaadhibiwa kwa kupigwa kalamu kufuatia madai ya kuhusika kwenye udanganyifu wa mtihani wa KCSE ambao umekamilika hii leo. Waziri wa elimu Profesa George Magoha, amesema watu wengine 37 wakiwemo wafanyabiashara na wanafunzi wa vyuo vikuu walihusika kwenye udanganyifu wa mtihani wa KCSE.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback