×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu 629 waambukizwa virusi vya korona chini ya saa 24

20th April, 2021

Tukiangazia maambukizi ya virusi vya korona nchini, chini ya saa ishirini na nne watu mia sita ishirini na tisa wameambukizwa virusi vya korona kutoka sampuli ya watu elfu tano, mia nane thelathini na wawili. Idadi ya maambukizi sasa imefikia elfu mia moja hamsini na mbili, mia tano ishirini na tatu. Watu elfu moja, mia tano sitini wamepona huku elfu moja mia tatu hamsini na wanane wakiwa waliopata matibabu nyumbani na mia mbili na wawili ni waliopata matibabu hospitalini. Hata hivyo watu kumi na wanane wamefariki na kufikisha idadi ya vifo kuwa elfu mbili, mia tano kumi na tisa. Watu mia mbili hamsini na moja wamelazwa katika chumba cha watu mahututi ,hamsini na wanne wakitumia ventileta na mia moja hamsini na watano wakiwa wanaotegema oxygeni.

 

.
RELATED VIDEOS