.
20th April, 2021
Marehemu Catherine Nyokabi anayedaiwa kuuwawa na mpenziwe Evans Karani ambaye mahakama iliamuru kuzuiliwa korokoroni kwa muda wa siku 14 amezikwa leo nyumbani kwao chaka katika kaunti ya Nyeri. Familia wameomba idara ya upelelezi na serikali kuhakikisha haki imepatikana kwa marehemu nyokabi kama anavyoarifu daniel kariuki.