20th April, 2021
Viongozi wa muungano one Kenya alliance Gideon Moi, KalOnzo Musyoka, Moses Wetangula na Musalia Mudavadi alasiri ya leo walikutana kwa mashauriano ya mikakati ya mweleeko wa siasa nchini. kwenye mkutano huo uliodumu muda wa saa mbili, viongozi hao walijadili umuhimu wa kuufanyia upanuzi muungano huo ili kuwajumuisha wanasiasa walio na mawazo au sera sawa