.
20th April, 2021
Mahojiano ya kumteua mrithi wa jaji mkuu aliyestaafu David Maraga yaliendelea leo, wa saba kuhojiwa na tume ya huduma za mahakama akiwa wakili Fred Ngatia. Anavyoarifu mwanahabari Murimi Mwangi, tume ya JSC ilimdadisi Ngatia kuhusu uhusiano wake na rais Uhuru Kenyatta na hofu miongoni mwa wakenya kuwa huenda akaendeleza ajenda ya kukandamiza uhuru wa mahakama.