×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msamaha wa Magoha: Watahiniwa waliopatikana wakijihusisha na wizi wa mtihani wa KCSE watasamehewa

16th April, 2021

Waziri wa elimu prof George Magokha amesema watahiniwa wote waliopatikana wakijihusisha na wizi wa mtihani wa KCSE watasamehewa na kupata matokeo yao ila wasimamizi wa vituo vya mtihani na polisi waliokuwa wakisimamia mitihani wakati visa vya udanganyifu wataukaobeba msalaba.. Prof. Magoha amesema  kuwa watahiniwa waliopatikana na simu za rununu hawataathirika ila tu baadhi ya maswali ndiyo yatakayoondolewa alama. Amesema hatua hiyo ni kutokana na ombi la rais Kenyatta

.
RELATED VIDEOS