x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza wazi rasmi nyadhifa za makamishna wanne wa tume ya IEBC

16, Apr 2021

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza wazi rasmi nyadhifa za makamishna wanne wa tume ya IEBC na kuanzisha mchakato wa kuwateuwa wakenya wanne watakao chukua nafasi hizo. Iwapo mchakato huo utazingatiwa, basi huenda tume hiyo ikakamilika na makamisha wote katika muda wa miezi mitatu ijayo kama anavyotuarifu Duncan Khaemba anatufungulia dira ya wiki 

Feedback