×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shangwe, vifijo katika eneo la Kaiboi, Nandi baada ya Laureen Tarus kuzoa alama 431

15th April, 2021

Kulikuwa na shangwe, vifijo na nderemo katika kijiji cha Koisolik, eneo la kaiboi kaunti ya  Nandi baada ya Laureen Chepkemboi tarus kuibuka wa kwanza katika eneo la bonde la ufa baada ya kukwangura alama ya 431 katika shule ya msingi ya st mathews septonok kaunti ya Nandi. Chepkemboi ambaye alikuwa nambari 6 kitaifa anasema kwamba bidii za mchwa zilimfanya kuwa kifua mbele. Elvis kosgei alizungumza nao na sasa anaarifu

.
RELATED VIDEOS