×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

EPRA yasema kuwa bei ya mafuta itasalia jinsi ilivyo huku Wakenya wakilalamika

14th April, 2021

Kinyume na matarajio ya wakenya wengi kwamba bei za mafuta zingeongezeka kuanzia siku ya alhamisi, mamlaka ya kudhibiti bei za mafuta nchini EPRA haijafanya mabadiliko yoyote. lita moja ya mafuta ya petroli nairobi itauzwa kwa shilingi 122.44 na dizeli lita moja shilingi 107.55. hata hivyo wakenya wanasema bei ingali juu na kuitaka serikali kuipunguza. nicholas wambua anaarifu.

.
RELATED VIDEOS