Usalama Lagdera: Watu watano waliuawa huku polisi mmoja wa akiba akijeruhiwa vibaya
12th April, 2021
Viongozi wa vijana katika eneo bunge la Lagdera wamekashifu mauaji ya watu wasio na hatia katika kata ya Samaki. Watu watano waliuawa huku polisi mmoja wa akiba akijeruhiwa vibaya